Jinsi ya Kufika Hospitali ya Tumbi
Kutokea Mkoa wa Dar es Salaam Ukifika Stendi ya Mailimoja (Njuweni) Endelea mbele Mpaka Utakapokuta Barabara ya Lami Inayoingia Kushoto kwako Utaona Bango La Hospitali ya Tumbi
Bofya hapa kufungua ramani ya kufika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani - Tumbi