Maadhimisho ya siku ya Wauguzi Hospitali ya Mkoa wa Pwani Tumbi
Posted on: May 26th, 2022Huduma Mbalimbali za Upimaji na Uchunguzi zimetolewa katika Kuadhimisha siku siku ya Wauguzi Duniani,
Sherehe ambayo kilele chake ni Kesho Mei 28 2022 ambapo kutakuwa na Matembezi ya hisani ya Umbali wa kilometa 8 kwa lengo la Kuhamisisha Ufanyaji Mazoezi ili kijikinga na magonjwa yasiyoambukizwa.