KOFIH -YATOA MSAADA TUMBI
Posted on: September 18th, 2019Mganga Mkuu wa Mkoa wa Pwani Dr Gunin Kamba katikati amepokea msaada wa vifaa vya radiolojia kutoka kwa shirika la Korea-Kofih mapema leo tarehe 27.9.19.Msaada huo ni muhimu sana ikizingatiwa kuwa hospitali ya Tumbi ipo pembezoni mwa barabara kuu ya morogoro ambayo inakumbwa na ajali za mara kwa mara hivyo majeruhi wengi wanakuwa wakihitaji kupatiwa huduma hasa za X-Ray .