Our Services
We receive referral cases from surrounding health centers and dispensaries as we as self-referrals. Most of which are medical emergency cases
- To name a few- Hypertensive Urgency/emergency
- Cardiovascular events
- Diabetes Mellitus with acute/chroni...
KLINIKI YA HUDUMA NA KINGA (CTC)
Kituo cha ushauri nasaha na kupima cha hospitali ya rufaa ya mkoa wa pwani kilianza kazi rasmi tarehe 15 Juni,2005.Kituo kilianza na chumba kimoja kikiwa na jumla ya wateja wapatao 10.Mwaka mmoja baadae kulifanyika ju...
readmoreIDARA YA WAGONJWA WA NJE (OPD), DHARURA NA AJALI
Idara hii ni moja kati ya Idara zilizokamilika na kujitosheleza kihuduma. Katika mwaka huu 2022, Hospitali yetu ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani – Tumbi, kitengo cha majeruhi (Casualty) kilifanyiwa marekebisho ...
readmoreMaabara ya Hospitali ya rufaa ya mkoa wa pwani-Tumbi inasaidia kutoa huduma kwa wagonjwa kwa kufanya vipimo mbali .
Idara imejizatiti kutoa huduma sahihi,inayoaminika na kwa wakati katika maeneo ya Kutoa sampuli,uchunguzi Hematolojia,Kemia uhai,Uchangi...
readmoreThis department renders radiological services to all patients who need such services on inpatient and outpatient basis. It uses medical imaging to diagnose and treat diseases. Some of the Services includes:
- Ultra sound - diagnoze Obstetric USS, Abdo...
KITENGO CHA DAMU SALAMA
Kitengo cha Damu salama hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani-Tumbi kilianzishwa rasmi mwaka……………..Kitengo hiki kipo chini ya maabara kuu ya hospitali ya mkoa wa Pwani-Tumbi na kinashughulikia maswala ya utoaji wa huduma ya damu...
readmorekliniki ya methadoni ni moja ya kliniki zinazofanyakazi siku saba kwa wiki (Kila siku) matibabu ya emthadone hutolewa kwa waraibu wa dawa za kulevya ambao wameamua kuachana na madawa ya kulevya na kujiunga na mpango wa matibabu maarufu kama MAT. katika kl...
readmore