Hospitali ya Tumbi yashinda tuzo kwa utoaji huduma bora za matibabu. kupitia ukaguzi uliofanywa na Wizara ya Afya (Clinical Auditing) ambao umeiweka hospitali ya rufaa ya mkoa wa Pwani Tumbi...Read more

Mabibi na Mabwana! Ninayo furaha kubwa kuwakaribisha kwenye tovuti hii itakayowapa taarifa muhimu kuhusiana na Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Pwani-Tumbi . Kabla ya yote kwa niaba ya familia ya Tumbi napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa utayari wako wa kutembelea tovuti hii na...
Read moreWe receive referral cases from surrounding health centers and dispensaries as we as self-referrals. Most of which are medical emergency cases
KLINIKI YA HUDUMA NA KINGA (CTC)
Kituo cha ushauri nasaha na kupima cha hospitali ya rufaa ya mkoa wa pwani kilianza kazi rasmi tarehe 15 Juni,2005.Kituo kilianza na chumba kimoja kikiwa na jumla ya wateja wapatao 10.Mwaka mmoja baadae kulifanyika ju...
readmoreIDARA YA WAGONJWA WA NJE (OPD), DHARURA NA AJALI
Idara hii ni moja kati ya Idara zilizokamilika na kujitosheleza kihuduma. Katika mwaka huu 2022, Hospitali yetu ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani – Tumbi, kitengo cha majeruhi (Casualty) kilifanyiwa marekebisho ...
readmoreMaabara ya Hospitali ya rufaa ya mkoa wa pwani-Tumbi inasaidia kutoa huduma kwa wagonjwa kwa kufanya vipimo mbali .
Idara imejizatiti kutoa huduma sahihi,inayoaminika na kwa wakati katika maeneo ya Kutoa sampuli,uchunguzi Hematolojia,Kemia uhai,Uchangi...
readmoreHospitali ya Tumbi yashinda tuzo kwa utoaji huduma bora za matibabu. kupitia ukaguzi uliofanywa na Wizara ya Afya (Clinical Auditing) ambao umeiweka hospitali ya rufaa ya mkoa wa Pwani Tumbi...Read more