Ukaribisho

profile

Dr. Amaani K. Malima
Mganga Mfawidhi

Mabibi na Mabwana! Ninayo furaha kubwa kuwakaribisha kwenye tovuti hii itakayowapa taarifa muhimu kuhusiana na Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Pwani-Tumbi . Kabla ya yote kwa niaba ya familia ya Tumbi napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa utayari wako wa kutembelea tovuti hii na...

Read more

Our Services All

We receive referral cases from surrounding health centers and dispensaries as we as self-referrals. Most of which are medical emergency cases

  1. To name a few- Hypertensive Urgency/emergency
  2. Cardiovascular events
  3. Diabetes Mellitus with acute/chroni...
readmore

KLINIKI YA HUDUMA NA KINGA (CTC)

Kituo cha ushauri nasaha na kupima cha hospitali ya rufaa ya mkoa wa pwani kilianza kazi rasmi tarehe 15  Juni,2005.Kituo kilianza na chumba kimoja kikiwa na jumla ya  wateja wapatao 10.Mwaka mmoja baadae kulifanyika ju...

readmore

IDARA YA WAGONJWA WA NJE (OPD), DHARURA NA AJALI

Idara hii ni moja kati ya Idara zilizokamilika na kujitosheleza kihuduma. Katika mwaka huu 2022, Hospitali yetu ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani – Tumbi, kitengo cha majeruhi (Casualty) kilifanyiwa marekebisho ...

readmore

Maabara ya Hospitali ya rufaa ya mkoa wa pwani-Tumbi inasaidia kutoa huduma kwa wagonjwa kwa kufanya vipimo mbali .

Idara imejizatiti kutoa huduma sahihi,inayoaminika na kwa wakati katika maeneo ya Kutoa sampuli,uchunguzi Hematolojia,Kemia uhai,Uchangi...

readmore

Matukio All

  • No records found

Habari mpya All

Muda wa Kutazama Wagonjwa

Jumatatu - Ijumaa

  • Kuanzia 09:00 Mpaka 10:00
  • Kuanzia 15:00 Mpaka 04:00
  • Kuanzia 07:30 Mpaka 09:00

Jumamosi - Jumapili - Sikukuu

  • Kuanzia 09:00 Mpaka 10:00
  • Kuanzia 15:00 Mpaka 04:00
  • Kuanzia 07:30 Mpaka 09:00

Kiliniki za Leo All

health education All

Saratani ya Shingo ya Kizazi (HPV)
Ugonjwa wa UVIKO-19
Homa ya Ini

Ministry Content All

Matangazo All