Huduma za Maabara

Posted on: April 20th, 2024

Maabara ya Hospitali ya rufaa ya mkoa wa pwani-Tumbi inasaidia kutoa huduma kwa wagonjwa kwa kufanya vipimo mbali .

Idara imejizatiti kutoa huduma sahihi,inayoaminika na kwa wakati katika maeneo ya Kutoa sampuli,uchunguzi Hematolojia,Kemia uhai,Uchangiaji wa damu,Mikrobaolojia,Serolojia,Histopatholojia ili kukidhi viwango vya maabara vya kimataifa ISO 15189:2012


Clinical chemistry  Department
         Parasitology  Department   
Serology Department
Phlebotomy Department
Microbiology  Department