Kliniki ya Kisukari

Posted on: November 28th, 2023

Kliniki ya Kisukari ni kliniki maalumu kwa wagonjwa wa kisukari wanaofika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Tumbi.