KIKUNDI CHA EBENEZA CHATOA MSAADA KWA WAGONJWA

Posted on: September 27th, 2025

Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani - Tumbi Sr. Roby Moses akiwa kwenye Picha ya Pamoja na Kikundi cha akina Mama wa Ebeneza kutoka kwa Mathias - Kibaha walipokuja kutoa msaada kwa Wagonjwa wenye changamoto ya kuchuja damu wanaopata huduma hiyo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani - Tumbi leo Septemba, 29, 2025.