MAAFISA WA TAKUKURU WATOA MSAADA KWA WAGO NJWA
Posted on: August 5th, 2025
Baadhi ya Maofisa wa Takukuru kutoka zone mbalimbali nchini wakiwa katika picha mbalimbali na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Pwani Tumbi, Dkt. Amaan K. Malima walipokuja Hospitali kwa ajili ya matendo ya Huruma kwa wagonjwa waliolazwa katika wodi ya wazazi na watoto wenye mahitaji maalumu.
Maofisa hao pia walitoa mashuka 70 kwa ajili ya Hospitali.